Search

Patois and Slang Dictionary

Login into reggae translate, not registered signup here.

conjugal visit maneno ya wimbo

  • Conjugal Visit
  • Featuring: Vybz Kartel
  • Album: So Mi Like It
  • Genre: Dancehall

conjugal visit maneno ya wimbo

Conjugal Visit lyrics with English Translations

conjugal visit maneno ya wimbo

Lyrics submitted by anonymous Mellow_Harsher -->

  • Edit Lyrics
  • Request Lyrics
  • Submit Lyrics

Share this lyric

"Conjugal Visit" Song Info

  • Views: 19K+

conjugal visit maneno ya wimbo

So Mi Like It Spice

  • . Conjugal Visit

Related Songs

Active Little Feet Logo

Aina za Maneno na Mifano Yake

There are eight types of words ( aina za maneno ) in Kiswahili. The last time I learned these, I was in form 2, so I understand if you don’t remember anything from your Kiswahili class. But that’s why I’m here. Today, I will take you through aina za maneno na mifano yake with the help of Tr. Meshack from Moi Forces Academy. Let’s get started

Nomino - Noun

For Example (Mifano Ya Nomino)

Mifano ya nomino za kawaida katika sentensi (examples in a sentense), zoezi la nomino za kwaida (exercise), mifano ya nomino za pekee (examples).

  • Mifano Ya Nomino za Pekee Katika Sentensi (Examples in a Sentence)

Aina Nyingine Ya Nomino (Other Types of Nouns in Kiswahili)

For example (mifano ya vivumishi ya sifa), mifano vivumishi vya sifa kwenye sentensi (examples in a sentence), zoezi la vivumishi vya sifa (exercise), aina nyingine ya vivumishi (other types of adjectives), mifano ya viwakilishi vya nasfi (examples), vitenzi halisi, vitenzi vikuu na visaidizi, vitenzi vishirikishi, mifano ya vielezi katika sentensi, 6. vuhusishi (h) prepositions, 7. viunganishi (u) conjunctions, 8. vihisishi (i) interjections , 1. nomino (n) noun.

Nomino is a noun. A noun is a word that names a person, place, thing, idea, or quality. Nouns are the building blocks of sentences and play a crucial role in conveying meaning.

In Kiswahili, a noun, or nomino is described as “ neno linalotaja mtu, mahali, kitu, wazo, au sifa. ” For example, Mary and Nairobi are nouns.

Like their English equivalent, there are different types of nouns. These include:

Nomino za Kawaida or Common Nouns

Common nouns are words used to name general categories of people, places, things, ideas, or qualities. 

Kiswahili definition: “ Nonimo za kawaida ni maneno yanayotumiwa kurejelea vitu vya kawaida kama watu, wanyama, na mahali .”

Nomino za Pekee (Proper Nouns)

A proper noun is the name of a person, place, city, or company. In Kiswahili or English, proper nouns start with a capital letter.

Kiswahili definition: “ Nomino ya pekee ni majina mahususi ya watu, mahali, kampuni, na bidhaa. ”

Mifano Ya Nomino za Pekee Katika Sentensi (Examples in a Sentence )

Can you identify the nomino za kawaida in these sentences?

  • Nimoni za wingi (uncountable nouns ) eg maji ( water ), upendo ( love )
  • Nomino za jamii ( collective noun s) – e.g. kundi ( group ), msitu (f orest )
  • Nomino za dhahania ( abstract nouns ) – e.g. upendo ( love ), heshima ( respect )

Vivumishi - adjectives

2. Vivumishi (V) Adjectives 

Vivumishi or adjectives are words that describe or modify nouns or pronouns. They provide more information about the characteristics, qualities, or states of being of the subject they refer to.

Kiswahili definition:

“ Vivumishi ni maneno yanayotoa maelezo zaidi kuhusu nomino au viwakilishi “ Tr. Meshack Sindani ~ Moi Forces Academy

Also read: Vitendawili na Majibu

Vivumishi vya Sifa (Descriptive Adjectives)

Vivumishi vya sifa are adjectives that describe the qualities or characteristics of a person, thing, or place. They provide more information about how a thing looks, feels, tastes, smells, sounds, or acts.

Kiswahili definition: “ Vivumishi vya sifa ni maneno ambayo hutoa sifa kuhusu mtu, kitu, au mahali .”

There are a few rules you need to remember. First, vivumishi vya sifa are used with proper nouns ( nomino ya pekee ) or adjectives used to describe the proper noun ( kiwakilishi husika. )

Secondly, vivumishi vya sifa have to take prefixes of a specific noun class. That is, “ vivumishi vya sifa huchukua viambishi vya ngeli husika, kuleta maana ya kivumishi. ”

For instance, you can’t say mtoto fupi. Instead you’d say, mtoto mfupi. The “ m ” in “ mfupi ” is the kiambishi cha ngeli ( prefix) and is used to bring meaning to “ fupi ” which is the kivumishi cha sifa or descriptive adjective.

Can you identify the vivimishi vya sifa in the following sentences?

Also read: 13 Fun Games to Strengthen Early Swahili Reading Skills

  • Vivumishi vya Pekee e.g mwenye, mwenyewe, wote, wowote, ingine, ingineo
  • Vivumishi virejeshi eg mtoto ambaye 
  • Vivumishi vya vimilikishi ( possessive) eg wangu, wako, wake
  • Vivumishi vya idadi ( measure ) eg wawili, wengi, watatu
  • Vivumishi visisitizi ( emphasis ) mtoto yuyu huyu, watoto wale wale
  • Vivumishi viulizi ( question ) kipi?, gani?, yupi?

Viwakilishi - Pronoun

3. Viwakilishi (W) Pronoun 

Pronouns are words that take the place of nouns in a sentence. They are used to avoid repetition and make sentences flow more smoothly.

Kiswahili definition: “ Viwakilishi ni maneno yanayotumiwa badala ya nomino.”

For example, instead of saying Beth ni mtoto mrembo (Beth is a beautiful child), you say “ yeye ni “mtoto mrembo ” (she is a beautiful child.)

Another example is mwalimu ametoka   (the teacher has left) becomes yeye ametoka or (he has left.)

Interestingly, viwakilishi and vivumishi have the same subtypes. The difference is, in viwakilishi , there are no nouns. You instead use the kiwakilishi (pronoun). 

Also, note that you cannot use a kiwakilishi (pronoun) together with a nomino (noun). You can only use either or.

Also read: How to Improve Math Skills and Reading for Kindergarten Kids

Viwakilishi vya Nafsi

Viwakilishi vya sifa are grouped into three categories. We have:

This means, you use the v iwakilishi in singular ( umoja ) and plural ( wingi ).

Nasfi ya kwanza

Nafsi ya Pili

Nasfi ya Tatu

Aina Nyingine ya Viwakilishi (Other Types of Nouns in Kiswahili)

  • Vivumishi vya Pekee eg mwenye-mwenyewe, wote- wowote
  • Vivumishi vya vimilikishi (possessive) egwangu, wako, wake
  • Vivumishi vya idadi (amount) eg wawili, wengi, watatu
  • Vivumishi visisitizi (emphasis) mtoto yuyu huyu, watoto wale wale
  • Vivumishi viulizi (question) kipi, gani, yupi

Aina ya maneno na mifano yake (vitenzi)

4. Vitenzi (E) Verbs

Verbs are words that describe actions, occurrences, or states of being. They are essential components of sentences because they tell us what is happening, what exists, or what condition something is in.

Kiswahili definition: “V itenzi ni maneno yanayoeleza matendo yanayofanyika, yaliyofanyiksa, na yatakayofanyika .”

In translation, vitenzi tell us what has happened, what happened, and what will happen. The subtypes include:

Vitenzi halisi , mostly used by itself, shows how an action is happening. 

These are vitenzi vikuu na visaidizi (main verbs and auxiliary verbs). Vitenzi vikuu (main verbs)  carry the essential meaning of an action, occurrence, or state of being in a sentence, while vitenzi visaidizi (auxiliary verbs) help the main verb.

Vitenzi vishirikishi describe an existing state or context and are also used to describe the environment.

Aina ya maneno na mifano yake (Vielezi - Adverb

5. Vielezi (E) Adverb

Adverbs ( vielezi ) add more information to verbs, adjectives, other adverbs, or even entire sentences.

The Kiswahili definition is “v itenzi ni maneno yanayoonyesha jinsi tendo linavyo tendeka, ” which is loosely translated as words that show how an action is taking place.

Like adverbs, vielezi answer the questions on how ( vipi ), where ( wapi ), when ( lini ), and  how many ( mara ngapi .)

The subtypes include:

  • Vielezi vya wakati
  • Vielezi vya mahali
  • Vielezi vya namna
  • Vielezi vya idadi

Vielezi vya Wakati

Vielezi vya Idadi

Vielezi vya Mahali

Vielezi vya Namna

Vihusishi - Preposition

Prepositions are words that establish relationships between other words in a sentence. They typically show the location, direction, time, or manner of something in relation to another word.

The Kiswahili definition is, “ vihusishi ni maneno yanayoonyesha uhusiano wa kitu na kingine au mtu na mwingine. Uhusiano huu unaweza kuwa wa mahali, wakati, au kiwango .” This can be loosely translated to mean vihusishi show the relationship between things or people. The relationship could be that of time, place, or quantity.

For instance, in the sentence “P aka yuko chini ya meza, ” chini ya (under the ) shows the relationship between Paka (cat) and meza (table). The English equivalent of this sentence would be “ The cat is under the table .”

  • Vihusishi vya mahali which show the relationship between a noun and its place. For example, kiti kimo ndani ya daraka, usiende karibu na mto ule .
  • V ihusishi vya wakati, which show the relationship between a noun and time. For example, wanafunzi walifika kabla ya macheo, watarudi baada ya kusoma .
  • Vihisishi vya kunyume which show the oppposite of an action. For example, alienda shambani badala ya sokoni, badala ya kuenda mjini, alienda nyumbani.
  • Vihusishi vya kufananisha which shows comparison. For instance, anasoma Bibilia kama kasisi .
  • Vihusishi vya sababu which show the reason for something. For example, siuoni kwavile amejificha .

Viunganishi (U) Conjunctions

Conjunctions are words that connect words, phrases, or clauses in a sentence. They play a crucial role in building grammatically correct sentences and creating relationships between different elements.

The Kiswahili definition is, “ viunganishi ni maneno yanayounganisha maneno mengine au sentensi. ” for example, in the sentence, Mama anapika na kuongea , the words “na” is a conjunction ( kiunganishi .)

The sub-types include:

Vihisishi (I) Interjections 

Interjections are words or short phrases used to express sudden emotions, reactions, greetings, or sounds.  The kiswahili definiton is “ vihisishi ni maneno y anayoonyesha hisia .” For example, interjections ( vihisishi ) can show happiness ( furaha ) shock ( mshangao ), and anger ( hasira .)

While they don’t have sub-types, the table below can show you different vihisishi and the emotions they show.

I hope this overview of aina za maneno (types of words) is helpful for you and your child and will assist with their homework. If you need exercises and more examples, please comment below, and they will be provided. Alternatively, you can read the blog posts that individually expound on each type of words and provide more examples.

Kuna aina nane (8) za maneno. Hizi ni nomino, vivumishi, viwakilishi, vitenzi, vielezi, vihusishi, viunganishi, na vihisishi.

conjugal visit maneno ya wimbo

Leo Yatimizwa

Leo yatimizwa lyrics, leo yatimizwa maneno ya kale masihi kazaliwa, heko kwake isaya alisema bikira atamzaa (nasi) tufurahi na kumwimbia atokaye mbinguni shangwe kuu tumpokeapo mgeni mwana wa mungu kristu (tumshangilie) heko heko kwa bikira na mwanaye yesu kristu na tumshangilieni.

  • Herode upoe moto, usipayuke bure Yeye mfalme wa Mbinguni hana haja na wako
  • Mwenye dhambi futa jasho takubebea mzigo Damu itafanya kazi, dhambi tatusamehe

KUMTEGEMEA MWOKOZI Lyrics/Swahili.

Historia ya nyimbo KUMTEGEMEA MWOKOZI Lyrics/Swahili~ Tis So Sweet to Trust in Jesus.

Historia ya nyimbo KUMTEGEMEA MWOKOZI Lyrics/Swahili~ Tis So Sweet to Trust in Jesus.

Wimbo huu uliandikwa na mwanamke mkristo wa kiingereza aliyeitwa, Louisa M. Stead, Mnamo mwaka 1882, Ni wimbo unaoeleza furaha mtu anayoweza kuipata katika kumtegemea Kristo, Lakini nyuma ya uandishi wa wimbo huu, imelala historia nzito ya Maisha aliyopitia Louisa M stead,

Ilikiwa ni siku moja Louisa na mumewe Pamoja na mtoto wao wa kike aliyeitwa Lily, walipanga safari ya kwenda matembezi, wakiwa ufukweni mwa kisiwa kimoja ghafla walisikia  sauti kama ya mtu inapiga kilele za kuzama, kwenda kukimbia kuangalia wakamwona kijana mmoja, hilo lilimfanya mume wa Louisa, ajaribu kwenda kumwokoa, lakini katika jitihada zake za kufanya hivyo kwa bahati mbaya wote wawili wakazama, wakafa (kijana Pamoja na mume wake), mbele ya macho ya Louisa na binti yake.

Maisha yao baada ya hapo yalianza kuporomoka, Maisha yakawa magumu, Lakini wakagundua kuwa Mungu hakuwaacha katika hali zao, aliwatimizia mahitaji yao, hapo ndipo Louisa na binti yake walijifunza kumtegemea Mungu, na ndipo akauandika wimbo huu;

Baadaye Louisa na binti yake wakasafiri kwenda Afrika kusini kwa kazi ya umishionari.

Lakini ni nini tunajifunza katika wimbo huu na uandishi wake?

Mimi na wewe tunaweza tukawa hatujapitia katika hali ngumu kama aliyopitia yeye, lakini yeye aliyeyapitia amemwona Mungu akimpigania, mpaka anaimba na kusema, “Nimemwona thabiti”..Hiyo ni kuonyesha kuwa hata wewe ukimwamini Yesu na kumtegemea, ..Utamwona thabiti/hakika akiwa na wewe katika maisha yako haijalishi leo unapitia mahali pagumu kiasi gani.

Imba wimbo huu ukikumbuka matendo yote makuu aliyokutendea nyuma. Na hakika utausikia uwepo wake nafsi mwako.

Bwana akubariki.

Tazama chini historia za nyimbo nyingine za Tenzi.

Tafadhali share na wengine.

Mada Nyinginezo:

NI SALAMA ROHONI MWANGU Lyrics
MWAMBA WENYE IMARA
USINIPITE MWOKOZI Lyrics
BWANA MUNGU NASHANGAA KABISA lyrics
CHA KUTUMAINI SINA lyrics
UWEPO WA BWANA HATA KATIKATI YA MATESO.
UNATAKA KUBARIKIWA? BASI USIKWEPE GHARAMA ZAKE.
NINI KINATOKEA BAADA YA KIFO?

Rudi Nyumbani:

Print this post

About the author

' src=

Admin administrator

Related news.

conjugal visit maneno ya wimbo

UTAJUAJE UFAHAMU WAKO UMECHUKULIWA?

' src=

JE! UNATAKA UITWE MSOMI NA MUNGU?

habari ya mtini

Je ile habari ya mtini kunyauka inajichanganya?

guest

  • February 2024
  • January 2024
  • December 2023
  • November 2023
  • October 2023
  • September 2023
  • August 2023
  • February 2023
  • January 2023
  • December 2022
  • November 2022
  • October 2022
  • September 2022
  • August 2022
  • February 2022
  • January 2022
  • December 2021
  • November 2021
  • October 2021
  • September 2021
  • August 2021
  • February 2021
  • January 2021
  • December 2020
  • November 2020
  • October 2020
  • September 2020
  • August 2020
  • February 2020
  • January 2020
  • December 2019
  • November 2019
  • October 2019
  • September 2019
  • August 2019
  • February 2019
  • January 2019
  • December 2018
  • November 2018
  • October 2018
  • September 2018
  • August 2018
Wingu La Mashahidi
  • Bible questions answered
  • Kazi (Uchumi)
  • Maana ya maneno
  • Mafundisho ya msingi
  • Maombi ya kujikuza kiroho
  • maswali na majibu
  • Mbigu Mpya na Nchi Mpya
  • Mpinga Kristo
  • Roho Mtakatifu
  • Uncategorized
  • uncategorized-en
  • Wahubiri (Watumishi)
  • waongofu wapya
  • Wazazi na Watoto
  • YESU KRISTO
  • أسئلة وأجوبة
  • تعاليم الكتاب المقدس

Ni Heri Zaidi Kutoa Kuliko Kupokea

Mtunzi: E. Billega > Tazama Nyimbo nyingine za E. Billega

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti

Umepakuliwa mara 25,914 | Umetazamwa mara 43,681

Weka wimbo kwenye favorites

Umetungwa Marumba - Kasulu Aug 20, 2005

Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

  • - Itengenezeni Njia Ya Bwana
  • - Moyo Wangu Umekuambia
  • - Furahini Katika Bwana
  • - Uje Bwana Kutuokoa

Maoni - Toa Maoni

Very nice song God bless you very much
Mungu awbariki
Sijawahi kuona kazi mbovu ya e bilega
nataka kujua vile different voices kama bass, tenor, alto, soprano zinaimba wimbo huu
Wimbo mtamu sana napenda sana
Pongezi kwa mtunzi wa wimbo huu.unabariki
. Ni nyimbo tamu sana
Wimbo ni mzuri na ninaupenda saana. Ni nyimbo nzuri kati ya nyimbo za mtoleo
MBALE UGANDA
wimbo tamu sana na kuvutia
Wimbo mzuri sana unatukumbusha wajibu wetu!

IMAGES

  1. Conjugal Visit (2022)

    conjugal visit maneno ya wimbo

  2. Conjugal Visit (2022)

    conjugal visit maneno ya wimbo

  3. Spice & Vybz Kartel

    conjugal visit maneno ya wimbo

  4. Conjugal Visit by Carlotta Griffin-Hadnott (English) Paperback Book

    conjugal visit maneno ya wimbo

  5. Conjugal Visit (2022)

    conjugal visit maneno ya wimbo

  6. Wimbo wa Maneno ya Mungu

    conjugal visit maneno ya wimbo

VIDEO

  1. Vishindo vya wakoma wanne- AIC Kalebezo Choir (Buchosa)

  2. WIMBO HUU WA KUABUDU YOTE YANAWEZEKANA

  3. VIVUMISHI VIULIZI

  4. MANENO BY INJILI FAMILY CHOIR INTERNATIONAL VIDEO OFFICIAL 2023

  5. LKLMPC Wimbo Wa Wokovu Ya Congo #40 (2/18/2018)

  6. Vinyume vya vitenzi: Opposite of Swahili Verbs ( Part 1)

COMMENTS

  1. Conjugal Visit

    Conjugal Visit lyrics with English Translations. Lyrics Translations. [Intro] Baby I miss you so much Mi dying fi cum teif a likkle f**k gi yuh (I'm dying to steal a f**k to give you) Yuh a mi baby (You're my baby) Gyal cum yah mek mi f**k yuh nuh (Girl come here so I can f**k you) [Chorus] Yuh pum, pum tight (Your p**sy is tight) Mi gyal ...

  2. Spice

    A nuh suh mi a dweet, the fuck have to go. Mi a wine pon the beat, tip up pon yuh toe. [Pre-Chorus: Spice & Vybz Kartel] We nuh poppy show. Nothing cyaa work suh we daddy go. Pose like you a play ...

  3. Aina za Maneno na Mifano Yake (Types of Words plus Examples)

    Aina Nyingine Ya Nomino (Other Types of Nouns in Kiswahili) Nimoni za wingi (uncountable nouns) eg maji (water), upendo (love); Nomino za jamii (collective nouns) - e.g. kundi (group), msitu (forest)Nomino za dhahania (abstract nouns) - e.g. upendo (love), heshima (respect)2. Vivumishi (V) Adjectives . Vivumishi or adjectives are words that describe or modify nouns or pronouns.

  4. Conjugal Visit lyrics Meaning

    Conjugal Visit Meaning. [ [Intro: Spice & Vybz Kartel] Baby I miss you so much. Me dyin' fi come thief a likkle fuck gi yuh. You a mi baby. Gyal come yah mek me fuck yuh now. [Chorus: Spice & Vybz Kartel] Yuh pum pum tight, mi gyal yuh hold me. Da hood yah long like a thousand story.

  5. Aulaye Mwili Wangu

    Maneno ya wimbo. Aulaye mwili wangu nakuinywa damu yangu asema Bwana hukaa ndani yangu nami hukaa ndani yake x2. 1. Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu ana uzima wa milele. 2. Njoni enyi wenye njaa njoni enyi wenye kiu njoni kwangu niwabishe. 3. Aniaminiye mimi nakushika nisemayo nitamfufua siku ya mwisho. 4.

  6. Gusaneni Majeraha

    Wimbo huu wa Gusaneni Majeraha umetungwa na Bernard Mukasa. Mtunzi: Bernard Mukasa > Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa > Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari Umepakiwa na: Vusile Silonda Umepakuliwa mara 20,751 | Umetazamwa mara 27,451. Download Nota

  7. Safaricom PLC

    Wimbo unahusu kufanya kazi katika roho ya undugu kuinuana. Kulingana na Safaricom kwenye tovuti yao rasmi : Safari hii inahusu kuwainua wengine na kufanya maisha yajayo kuwa bora kwa kila mtu ...

  8. Sisi ni Mavumbi

    Maneno ya wimbo. KIITIKIO. Sisi ni mavumbi, sisi ni mavumbi. Na mavumbini, na mavumbini, na mavumbini tutarudi. ... Mwanadamu kumbuka wewe, umavumbi, umavumbi, na mavumbini utarudi. 2. Tutubu na kuiamini, injili ya Bwana, Yesu Kristo, tuishi milele yote. 3. Tugeuze mwenendo wetu, kwa majivu haya, tunayopakwa, tutende yaliyomema. Nyimbo nyingine ...

  9. Rayvanny

    [Maneno ya wimbo ya "Kwetu"] / [Verse 1] / Sifa kwa Mola wangu Maulana / Kwa mengi aliofanya / Hadi mi na we kukutana, kisura / Sijapanga kudanganya / Nasema ukweli mama / Kisa

  10. Conjugal visit

    A conjugal visit is a scheduled period in which an inmate of a prison or jail is permitted to spend several hours or days in private with a visitor. The visitor is usually their legal spouse. The generally recognized basis for permitting such visits in modern times is to preserve family bonds and increase the chances of success for a prisoner's eventual return to ordinary life after release ...

  11. Maneno Ya Kuambiwa Episode 100 [Official Video]

    kitale mkude Mweu

  12. Leo Yatimizwa Maneno ya Kale

    Leo yatimizwa maneno ya kale; Masihi kazaliwa heko kwakeShangwe kuu tumpokeapo mgeni mwana wa Mungu Kristo.wimbo wa ChristmasNyimbo nyingine za Christmas Mba...

  13. Leo Yatimizwa

    Leo yatimizwa maneno ya kale. Masihi kazaliwa, heko kwake. Isaya alisema Bikira atamzaa. (nasi) tufurahi na kumwimbia atokaye Mbinguni. Shangwe kuu tumpokeapo mgeni. Mwana wa Mungu Kristu. (tumshangilie) heko heko kwa bikira. Na mwanaye Yesu Kristu na tumshangilieni. Herode upoe moto, usipayuke bure.

  14. KUMTEGEMEA MWOKOZI Lyrics/Swahili.

    Maana Ya Maneno Katika Biblia. Takwimu za kibiblia; ... Lakini nyuma ya uandishi wa wimbo huu, imelala historia nzito ya Maisha aliyopitia Louisa M stead, Ilikiwa ni siku moja Louisa na mumewe Pamoja na mtoto wao wa kike aliyeitwa Lily, walipanga safari ya kwenda matembezi, wakiwa ufukweni mwa kisiwa kimoja ghafla walisikia sauti kama ya mtu ...

  15. Sakramenti Kubwa Hiyo (Tantum Ergo)

    Maneno ya wimbo Sakramenti kubwa hi-yo twaheshimu kifudi- na sheria ya zamani ikomeshwe na hiyo yafichikayo machoni imani huyaona, Mungu Baba Mungu Mwana asifiwe kwa shangwe kwa heshima atukuzwe pia aabudiwe Mungu roho Mtakatifu apate naye sifa, Amina. Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

  16. 100 Maneno ya mahaba

    Ninakupenda bila kutarajia malipo yoyote. Ninakupenda kwa nguvu zote ambazo moyo wangu unapiga nazo. Ninakupenda bila kutarajia malipo yoyote. Ninakupenda kwa nguvu zote ambazo moyo wangu unapiga kwa ajili yako. Hata ukubwa wa bahari hailingani na upendo wangu kwako. Tabasamu lako ndio sababu ya upendo wangu wa dhati.

  17. Kumbukumbu 32

    44 32:44 Hes 13:8, 16 Mose na Yoshua 32:44 Yoshua, yaani Yehoshea kwa Kiebrania, maana yake ni Yehova ni Mwokozi. mwana wa Nuni wakaja, wakanena maneno yote ya wimbo watu wakiwa wanasikia.

  18. Liko lango moja wazi lyrics na mafunzo

    Maneno ya wimbo huu yanaangazia Yesu kama lango lililo wazi, na kusisitiza kwamba liko wazi kwa kila mtu, bila kujali umri au hali ya kijamii. Yohana 10:9 - Mimi ni mlango; mtu yeyote anayeingia zizini kwa kupitia kwangu atakuwa salama, naye ataingia na kutoka na kupata malisho. Lango ni la furaha na rehema

  19. Mkusanyiko wa Mashairi ya Kawaida ya Upendo kwa Mpenzi Wako

    Ikiwa unataka kumwambia mchumba wako jinsi unavyohisi kumhusu, iwe ni Siku ya Wapendanao au siku yoyote ya zamani, lakini huwezi kupata maneno sahihi kabisa, labda mashairi haya ya kitamaduni kutoka kwa baadhi ya washairi wakubwa katika kitabu hiki. ... O Luve yangu ni kama wimbo, Hiyo inachezwa kwa kupendeza." 'Falsafa ya Upendo' na Percy ...

  20. Aulaye Mwili Wangu

    Maneno ya wimbo. AULAYE MWILI WANGU . Mtunzi: Dr. Basil B. Tumaini. Kiitikio: Aulaye Mwili Wangu na kuinywa Damu Yangu asema BWANA Huyo hukaa ndani Yangu nami ndani yake. Viimbizi. 1. Njoni enyi wenye njaa, njoni enyi wenye kiu, Bwana anatualika tushiriki kwenye karamu. 2. "Mwili wangu ni chakula, Damu yangu ni kinywaji, Aulaye Mwili Wangu ...

  21. Natafuta Nyimbo za zamani za Taarab

    Mwenye wimbo wa kitcheni party wa Marehemu Omary Kopa pia atuwekee . mankachara JF-Expert Member. Sep 27, 2013 6,141 3,452. May 7, 2014 #7 Leo tena, mazowea yana tabu ... kwa kila mwenye kupenda ajue ana donda ndugu. beti ya pili. seuze wenye pumzi na hali zilizonona wakijifanya wajuzi kwa maneno ya kunena wakiyapanda mabenzi na ndege kila aina ...

  22. Nota za Kama Ayala na Fr. Clement

    Maneno ya wimbo. Kama ayala aioneavyo kiu mito ya maji ndivyo ninavyokuonea kiu Mungu wangu x2. 1. Ninatamani kushibishwa kwa mwili wako Bwana wangu, Ninatamani kuburudishwa kwa damu yako Mungu wangu. 2. Umeniumba kwa ajili yako ndiyo maana sishibishwi, Utanituliza nafsi yangu Mungu wangu uliye hai. 3.

  23. Ni Heri Zaidi Kutoa Kuliko Kupokea

    Renatus Mfilinge Oct 10, 2017. Wimbo mzuri sana unatukumbusha wajibu wetu! Toa Maoni yako hapa. Wimbo huu wa Ni Heri Zaidi Kutoa Kuliko Kupokea umetungwa na E. Billega.